MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

Michezo ya Watoto/Chekechea - Printable Version
|

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Fasihi simulizi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=6)
+---- Forum: Sanaa za maonesho (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=51)
+---- Thread: Michezo ya Watoto/Chekechea (/showthread.php?tid=1231)
|
Michezo ya Watoto/Chekechea - MwlMaeda - 09-10-2021
Michezo ya Watoto/Chekechea - Michezo inayoigizwa na watoto katika shughuli zao.
Aina
- Mchezo wa baba na mama
- Kuruka kamba
- Kujificha na kutafutana
- Kukimbiza kibaramwezi dhidi ya upepo ili kizunguke
- Mchezo wa baba na mama
Sifa
- Waigizaji ni watoto.
- Huhusu shughuli za kiuchumi na kitamaduni k.v. arusi, siasa, ukulima.
- Huandamana na nyimbo za watoto.
- Huwa na miondoko mingi k.v. kujificha, kuruka.
- Huwa na matumizi mengi ya takriri.
- Huchezwa popote.
- Huwa na kanuni fulani.
- Hukoma watoto wakichoka au wakikiuka kanuni
Umuhimu
- Kufunza watoto majukumu yao ya utu uzima.
- Kuwatanguliza watoto katika sanaa ya uigizaji.
- Kukuza ubunifu wa watoto kadiri wanapoendelea kuigiza.
- Kudumisha utamaduni wa jamii.
- Kuburudisha watoto.
- Kukuza stadi ya uigizaji miongoni mwa watoto.
- Kukuza utangamano miongoni mwa watoto kwa kuwajumuisha pamoja.
- Kukashifu matendo hasi ya watu wazima kwa watoto.
- Kuwapa watoto ukakamavu na kujiamini wakiwa wachanga.
|