MASWALI NA MAJIBU -3: DARASA LA 3 & 4 - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Shule ya Msingi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=62) +---- Forum: Maswali na majibu (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=65) +---- Thread: MASWALI NA MAJIBU -3: DARASA LA 3 & 4 (/showthread.php?tid=1077) |
MASWALI NA MAJIBU -3: DARASA LA 3 & 4 - MwlMaeda - 08-31-2021 MASWALI NA MAJIBU -3: DARASA LA 3 & 4 SEHEMU A: Andika kisawe cha kila neno. Neno Kisawe
UMOJA WINGI
Mfano: Ng’ombe, mbuzi, kondoo – wanyama
Soma habari ifuatayo kisha jibu maswali kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi. Sisi tunaishi katika kijiji cha Mwambani kandokando ya bahari ya Hindi. Siku moja mjomba wangu alishikwa na homa kali. Alimeza kidonge kwa muda wa siku mbili lakini hakupata nafuu. Siku ya tatu baba na wazee wengine walimpeleka kwenye kituo cha afya.
Kituo cha afya kipo kilometa tano kutoka nyumbani kwetu. Mgonjwa alipelekwa kwa baiskeli. Alipofika kituoni alionana na daktari. Baada ya uchunguzi wa kutosha mjomba aligundulika kuwa na malaria. Daktari alimpeleka wodini na kumlaza kwene kitanda maalumu chenye magurudumu. Mgonjwa alianza kuhudumiwa na wauguzi kwa kupewa dawa na baada ya siku saba tu mjomba Maganga akapona.
MASWALI
MAJIBU
|